Music Note Lettere
Music Note Letterg
Music Note Lettera
Music Note Letterl
Music Note Lettero
Music Note Letterb
Music Note Letteri
Music Note Letterz
  • Remember me

Lrc Harmonize - Happy Birthday ( Official Music Video)

Harmonize - Happy Birthday ( Official Music Video) LRC Lyrics - Donwload, Copy or Adapt easily to your Music

LRC contents are synchronized by Megalobiz Users via our LRC Generator and controlled by Megalobiz Staff. You may find multiple LRC for the same music and some LRC may not be formatted properly.
94256 - Harmonize - Happy Birthday ( Official Music Video) [03:30.12] 34 minutes ago
by Guest
Copied
Office Copy IconCopy
Edit Time [xx:yy.zz] x 0 Views x 1 Download x 0
LRC TIME [03:30.12] may not match your music. Click Edit Time above and in the LRC Maker & Generator page simply apply an offset (+0.8 sec, -2.4 sec, etc.)
[length:03:30.12]
[re:www.megalobiz.com/lrc/maker]
[ve:v1.2.3]
[00:17.02]Kwanza nina furaha nitaimba na kucheza (na kucheza)
[00:24.52]Washa mishumaa weka keki juu ya meza (juu ya meza)
[00:31.79]Oh ila usinicheke nimekuletea zawadi kidogo nilichobarikiwa
[00:39.54]Aki mwana mpweke aje na dumu la maji asije kakumwagia
[00:47.57]Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti
[00:55.55]Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema
[01:01.53]Happy birthday
[01:03.31]Happy birthday to you
[01:06.03]Happy birthday to you
[01:10.04]Happy birthday to you
[01:13.80]Happy birthday to you
[01:34.06]Ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewa
[01:41.27]Zikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng'ombe au malewa
[01:48.27]Ila usiforget kusema asante baba na mama walokukuza ukakua
[01:55.76]Tunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na dua
[02:03.77]Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti
[02:11.31]Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema
[02:17.79]Happy birthday
[02:19.05]Happy birthday to you
[02:22.29]Happy birthday to you
[02:26.03]Happy birthday to you
[02:30.03]Happy birthday to you
[02:50.75]Kata keki kata (kata) oh kata (kata) kata (kata) kata unilishe
[02:58.82]Keki ya jina lako (kata) walishe na wenzako
[03:02.29](Kata) tupo kwa ajili yako (kata) Kata unilishe
[03:06.28]Oh basi kata (kata) oh kata (kata)
[03:10.03]Kata nipone (kata) kata (kata unilishe)
[03:14.54]Kata, Kata, Kata, Kata unilishe
[03:21.77]Ah na kapicha kako nitakoposti