Music Note Lettere
Music Note Letterg
Music Note Lettera
Music Note Letterl
Music Note Lettero
Music Note Letterb
Music Note Letteri
Music Note Letterz
  • Remember me

Lrc Nyumba ndogo by Zuchu

Nyumba ndogo - Zuchu LRC Lyrics - Donwload, Copy or Adapt easily to your Music

LRC contents are synchronized by Megalobiz Users via our LRC Generator and controlled by Megalobiz Staff. You may find multiple LRC for the same music and some LRC may not be formatted properly.
114555 - Nyumba ndogo by Zuchu [04:00.98] 4 years ago
by Guest
Copied
Office Copy IconCopy
Edit Time [xx:yy.zz] x 0 Views x 219 Download x 11
Cross Medias logoCross Medias - You can leave comments for this LRC in Cross Medias platform. Go to Cross Medias to comment .
LRC TIME [04:00.98] may not match your music. Click Edit Time above and in the LRC Maker & Generator page simply apply an offset (+0.8 sec, -2.4 sec, etc.)
[ar:Zuchu ]
[ti:Nyumba ndogo ]
[au:Otieno_The_GOAT ]
[length:04:00.98]
[by:Otieno_The_GOAT ]
[re:www.megalobiz.com/lrc/maker]
[ve:v1.2.3]
[00:02.32](DJ Kidogo Dogo)
[00:05.57]Ooh! Ooh!
[00:07.07]Nikupe taarifa mwenzangu (Uuh uh!)
[00:10.83]Yamenifika kwa koo!
[00:12.83]We mwanamke mwenzangu (Uuh uh!)
[00:16.59]Sema Ooh! Ooh!
[00:18.61]Nikupe taarifa mwenzangu (Uuh uh!)
[00:21.88]Yamenifika kwa koo!
[00:24.07]We mwanamke mwenzangu (Uuh uh!)
[00:27.80]Bwana ako analalamika
[00:30.83]Kila akija nyumbani
[00:33.58]Eti hujui kupika
[00:36.07]Kula kwako hatamani
[00:39.06]Kwangu kalipenda tembele
[00:42.06]Toto laini laini
[00:44.57]Shoga umenyimwa upole
[00:47.82]Tajiri wa kisirani
[00:51.06]Na samahani, samahani mwanzoni
[00:53.81]Sikujitambulisha mimi nani?
[00:56.33]Mie ndo Mke Mwenzio a.k.a Nyumba Ndogo
[01:01.37]Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo
[01:05.32]Sina ubaya, sina ubaya nawe
[01:07.57]Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
[01:10.57]Aah! Sina ubaya, sina ubaya nawe
[01:13.34]Mke mwenza ukinichukia, wanionea bure
[01:16.31]Ooh! Sina ubaya, sina ubaya nawe
[01:19.05]Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
[01:22.09]Ooh! Nasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
[01:30.57]Mke mwenza unanifaa
[01:33.10]Mie nikiwa mwezini kwangu haiwezekani
[01:36.32]Kwako bwana anakaa
[01:38.57]Mambo kusaidiana wala usihuzunike
[01:44.34]Siku izi kushare mabwana ndo fashion kwa wanawake
[01:49.82]Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike
[01:52.32]Sina ubaya, sina ubaya nawe
[01:56.08]Aaah! Ukinichukia, wanionea bure
[01:58.81]Sina ubaya, sina ubaya nawe
[02:01.56]Mke mwenza ukinichukiaa, wanionea bure
[02:04.32]Ooh! Sina ubaya, sina ubaya nawe
[02:07.06]Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
[02:09.82]Twendee nache, nache, nache, nache, nache
[02:13.09]Huu mchezo wa kichina, zungusha kiuno cheko
[02:15.85]We kichina zungusha kiuno cheko
[02:18.05]Kama shepu huna, pambana na hali yako
[02:21.10]Kama huna pambana na hali yako
[02:23.60]Nasema Masha zungusha, we zungusha
[02:26.55]Sasa Wanjala zungusha, we zungusha
[02:29.57]Khadija Kopa zungusha, we zungusha
[02:32.32]Mama Dangote zungusha, we zungusha
[02:35.35]Mama aah! Aah! Aah!
[02:40.34]Aaa! Aaa! Aaa!
[02:42.05]We kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
[02:44.33]Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
[02:47.36]Na kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
[02:50.07]Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
[02:52.82]Twende changamkeni, changamkeni, changamkeni
[02:55.33]Apo kati changamkeni, changamkeni, changamkeni
[02:58.10]Na kulia changamkeni, changamkeni, changamkeni
[03:00.57]Kushoto changamkeni, changamkeni, changamkeni
[03:03.32]Mamaaa haaaa
[03:06.82]Twendee nache, nache, nache, nache
[03:08.83]Nacheza, eh!
[03:12.58]Nasema aii mama, aii mama
[03:14.31]Aii mama, aii mama wee!
[03:20.09]Andaa besee
[03:25.82]Andaa bese
[03:27.06]Andaa bese
[03:28.57]Andaa bese
[03:29.82]Twende!
[03:33.08]Mama, andaa bese
[03:37.07]Andaa besee
[03:38.34]Andaa besee
[03:39.81]Andaa besee
[03:41.07]Twende!
[03:44.33]Utajijua mwenyewe
[03:47.34]Utajijua mwenyewe
[03:49.85]Utajijua mwenyewe
[03:52.86]Utajijua mwenyewe
[03:55.82](Kamix Lizer)